Kuna wakati nilihisi hijabu zangu hazinipendezi —zinateleza, zinanifanya nihisi joto linalosababisha nywele kunuka na hazikai maridadi muda mrefu. Ndipo nikatafuta suluhisho: hijabu, laini na zinazopumua, ambazo zinaendana na maisha ya kila siku ya mwanamke wa Kitanzania. Tangu nilipoanza kuzivaa, safari sokoni na sherehe zimekuwa rahisi na za kujiamini zaidi. Hii ndiyo hijabu ninayokuletea, ili nawe uishi hadithi ya faraja na uzuri kila siku.
CHAGUA RANGI ZAKO SASA